Mfumo rahisi wa kusimamia wanafunzi, mahudhurio, ada na matumizi. Jua pesa zinakotoka na zinakokwenda—kwa wakati halisi.
Mfumo kamili wa kusimamia shule—kutoka wanafunzi hadi fedha.
Fuatilia malipo, tuma vikumbusho kwa SMS, na jua wadaiwa wote kwa mtazamo mmoja. M-Pesa ready.
Chukua mahudhurio kwa sekunde. SMS moja kwa moja kwa wazazi.
Taarifa zote za wanafunzi sehemu moja. Import kutoka Excel.
Rekodi matumizi, weka risiti, jua pesa inaenda wapi.
Ripoti za kifedha, mahudhurio, na zaidi. Export PDF/Excel.
Tuma vikumbusho vya ada, arifa za mahudhurio, na matangazo. Otomatiki au manually.
Habari Mzazi, mtoto wako Amina amehudhuria shule leo. - Shule ya Mwanga
Data yako iko salama. Encrypted na backed up kila siku.
Hakuna mshangao. Hakuna ada za ziada. Cancel wakati wowote.
~$20 USD • Wanafunzi wasio na kikomo
Jiunge na shule zinazotumia Shule kusimamia wanafunzi na fedha kwa ufanisi.
Anza bila malipo